Nilikutana na huu ? mjadala huko Facebook nikaona ni share nanyi……………Kitu ambacho huwa sielewagi ni kwanini baadhi ya Watanzania wanapenda kuilinganisha Tanzania na Marekani inapofika kwenye swala la maendeleo ya miundo mbinu na siasa? Hivi hamjui kuwa Marekani hawakutumia jasho lao kuijenga hii nch?! Marekani ilijengwa kwa nguvu ya watumwa! Watumwa walimwaga damu na jasho lao lilibubujika kuijenga hii Marekani ambayo mnataka kufananisha na Tanzania. Tanzania inajengwa kwa au itajengwa kwa jasho lako wewe na mimi!! Sasa sijui kwanini wewe unayelalamika usikubali kutoa jasho lako kwa maendeleo ya nchi yako? Kulalamika kwako hakuijengi Tanzania bali linajenga a “whining. Nation”!! Jiulize wewe kama Mtanzania mzalendo unachangia kitu gani katika maendeleo ya nchi yako? Au unaongezea watu stress zisizokuwa na ulazima!! Tafakari!
RIO 2016 – Hongera sana Magdalena and Hemed
Awii! Inapendeza kwakweli! Asanteni sana ndugu zetu Magdalena Moshi na Hemed Hilal kwa kututoa kimaso maso! Umeingarisha bendera ya nchi yetu, mbarikiwe sana! Mungu azidi kuibariki Tanzania, umoja na amani vidumu ndani ya nchi yetu ili next Olympic tutwae taji la ushindi! Congrats Magdalena and Hemed without forgetting the coach. Job is well done!
“Tusikubali mama yetu Tanzania kusambaratika”- James Mbatia
Tanzania kwanza, vyama nyuma! Tunahitaji democracy ndani ya Tanzania lakini amani yetu ni kipaumbele number moja! Simtetei Rais Magufuli hapana, lakini lazima tukubali kumpa nafasi ya kufanya kazi! Mfumo wa nchi ulikuwa umeoza, na yeye anataka kuubadilisha kwa kuanzia na nidhamu ya kazi na ufisadi. Basi haya mambo ya siasa kila kukicha yanazidi kuturudisha nyuma! ……… Mimi na Tanzania, wewe je? Tafakari!
Kichuna Cha Kizaramo katika ubora wake!
Missy LB akifanya yake! Sidhani kama Linda atakuja kuzeeka, she’s just too far from aging! Halafu si kwa mguu huo ati! Mguu wa kuvalia vimini huu! Sio kama wengine wana viguu vya “mwendokasi” halafu bado wanataka kuvaa vimini ?? mwe! Just joking siwezi mkosoa Mungu mie, kazi yake haikosolewi kamwe!…….anyway, pendeza sana my sweet sister!
Hot pic of the day
“Our society is at loss”! -LeMutuz
Mother and daughter moment
Happy birthday Julie
Can parents be their own children nightmare?
Happy belated birthday Richard Bezuidenhout
Hot pic of the day!
Sasha Obama akibeba “box”
Sasha Obama akifanya kibarua chake wakati huu wa Summer break. Pamoja yakuwa yeye ni mtoto wa Rais lakini hajaona shida au haya kuwa na kibarua kwani anataka ku experience maisha kama watoto wengine wa umri wake wanavyo ishi hapa Marekani japo yeye hana shida ya pesa kama wengi. Ni mfano mzuri sana wa kuigwa haswa kwa watoto wa matajiri…………..Mwaka juzi dada yake Maria, alifanya kazi na baadhi ya ma producer fulani kama kibarua chake cha Summer kwani yeye anapenda kuwa Actress………….anyway, Sasha anaweka historia ya kuwa mtoto wa kwanza wa Rais wa Marekani kufanya kibarua kwenye mgahawa!…………..beautiful!
Mother and daughter moment
Maneno ya kutakafari!
Tafakari juu ya marafiki walio kuzunguka! Kuna umri fulani ukifika kama kweli wewe umepevuka kiakili lazima haya maneno utayawaza tu! Je, kunafaida gani kuwa na marafiki zaidi ya kumi ambao hakuna kitu cha maana mnaweza fanya au ongea ili kuboresha maisha yenu au kusaidia maisha ya mtu fulani zaidi ya starehe au na umbea tu?! Umri huu nilionao sihitaji marafiki wa kupiga story tu kwani hao nilionao wananitosha. Kama urafiki wetu haunisaidii kua mtu mwema zaidi ya jana (iwe kiuchumi, kiroho, au kijamii) basi huo urafiki hauna tija, na wala siutaki!……Tafakari!
Repost: Hot pic of the day
15 Sets of People you must meet in this Second Half of the Year 2016…*
1. *The Encouragers* – even in discouraging situations of life, these people keep you going with encouraging words; MAY YOU MEET THEM.
2. *The hand lifters*- They are those whose hands are strong enough to hold yours up when you are weak; MAY YOU MEET THEM.
3. *Destiny Helpers*- They provide shoulders upon which you ride to fulfilling your dream and destiny; MAY YOU MEET THEM.
4. *The Givers*- these ones will give of their time, talent, and treasure to you in your hour of need; MAY YOU MEET THEM.
5. *The Receivers*- these ones are different from routine takers and serial beggars. You can’t be blessed if you don’t give, and you can’t give if there is no one to receive. Not all lands bring forth fruits, and not all hands that receive command blessings. You need those whose receiving hands will trigger abundant blessings unto you; MAY YOU MEET THEM.
6. *The Prayer Conquerors*- You need more than prayer warriors IN 2016. Many Prayer warriors pray from their heads only; Prayer conquerors pray from their heart and conquer; MAY YOU MEET THEM.
7. *The Recommenders*- these are the ones who mention your name in quarters where your skills and talents will be celebrated; MAY YOU MEET THEM.
8. *The Correctors*- these are the ones who honestly tell you when you are wrong; they prevent you from digging a grave of mistakes that may bury your destiny; MAY YOU MEET THEM.
9. *The Committed*- whether things are up or down, these ones are standing with you; MAY YOU MEET THEM.
10. *The Loyal*- they work with you with all of their hearts to make things work in your life; MAY YOU MEET THEM.
11. *The Truth-Tellers*- they will not call night day, and day night; MAY YOU MEET THEM.
12. *The Altruists*- these ones believe that life is not just about them, it is about you too; MAY YOU MEET THEM.
13. *The Reliable*- You can count on them when it counts most; MAY YOU MEET THEM.
14. *The Contented*- these ones are not greedy, they are satisfied with whatever they get from you and they bless you from their heart for it; MAY YOU MEET THEM.
15. *Lovers and Pursuers of God & Godly Life*- these ones are always connected to God; MAY YOU MEET THEM, so you will never be disconnected from your source who is your MAKER. ETERNAL ROCK OF AGES AND KING OF KINGS.
Nothing will block your ways in Jesus name.
Author Unknown! By, Stephen Mndalila
Repost: Mama mzazi birthday wishes
Siku ya JumaTano ya tarehe 27, July ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mama yangu mzazi (hapo kati). Hakuna sherehe yeyote aliyo fanya zaidi ya kula chakula cha jioni na familia yake na kumshukuru Mungu kwa kumpa nafasi ya kuona mwaka mpya!…….Nami nasema asante Mungu Baba wa Mbinguni kwa uhai unao mpatia mama yangu. Lihimidiwe jina lako milele zote!…… Keki hiyo ni zawadi toka kwa mdogo wangu Mzee William!………..Katika picha ni:- baba mzazi, na kulia ni mdogo wangu Magreth.
Repost: Hot pic of the day
Repost: Janeth’s birthday wishes!
Tunapenda kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwake Mwanasheria aliyetukuka Janeth O.O. Igogo. Tunamuombea maisha marefu yaliyojaa amani, furaha, upendo, na afya njema. Happy birthday Lawyer! Umependa “kiwalo” chake? Basi wasiliana na Edna Silver wapo Sinza kumekucha. Au unaweza wapata kwa namba hii kwa kupiga simu au watsapp 0715782784
Mother and daughter moment!
Mama Mercy and Mercy ?? Kwakweli namshukuru Mungu kwa kunipa fursa hii ya pekee ya ku experience motherhood! Nampenda sana mwanangu lakini napenda kuitwa kwa jina langu “Alpha”!! Nashukuru kuwa nyumbani kwetu wote huwa wananiita kwa jina langu ? Just call me by my name you make me proud! Mwanangu huwa ananiita jina langu la kilugha ??