My attitude today: We don’t see things as they are, we see them as we are!

2016-06-14 20.33.38

Who raised them? The todays generation!

Your children will become who you are; so be who you want them to be! I wish many parents could realize how impressionable their children are and start to lead by example! Unawaambia wanao wapende watu wote wakati wewe hata kuonyesha upendo kwa wanao ni shida! Kids mimic their parents, they may not listen everything but surely they watch every single move! FB_IMG_1465746598930You may know their parents but the question remains “Who raised” them?!

 

Hot shot of the day

FB_IMG_1465865275135The Queen herself! Looking Hot! ❤❤❤

Father and daughters moment

FB_IMG_1465951171184Mzee Kachare akiwa wodini akifarijiwa na Mpwa wake kipenzi Clara Masanja (wapili kulia), binti yake na first born wake Esther Ephrahim Kachare (kulia), na last born wake Neema Kachare………..ugua pole mzee Kachare and you all be blessed!

Precious at her best!

photo-2wow! Precious how do I miss you gal! Looking beautiful as always! ……..my dear readers, I’d you are a regular visitor of this blog should know Precious. But for the benefit of new readers Precious is a daughter of my darling, loving, and true friends Mr and Mrs Ongwela of Kalamazoo, Michigan. IMG-20160611-WA0002She is such adorable smart little girl! I love her so much! She is a self-tutor skater, doing  it at the best level you can ever imagine! She got lots of talents…..I love her so much, may God continue to be with her! ❤❤❤

Tuko nyuma ya Rais-M.M Mwanakijiji

Baadhi yetu, tunaoamini katika mabadiliko ya kweli tuko nyuma ya Rais Magufuli kwa sababu tunaamini anaongoza na siyo kutawala tu. Kama kiongozi, anaonesha njia, ameweka malengo na mwelekeo anautaka na anatuongoza kuelekea huko. Kama mtawala angeweza kabisa kuendelea na ilivyokuwa na mambo yale yale akikubali kusukwasukwa na mawimbi ya maoni na mawazo ya kila namna kutoka kila kona. Lakini yeye kama kiongozi anajua anataka kufanya nini.

Tayari tunajua msimamo wake kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma na madaraka. Tunajua maono yake kuhusu tatizo la msingi za la nchi yetu – na tunajua suluhisho lake kubwa ambalo alilipendekeza katika muda wote wa kampeni – “hapa kazi tu”.

Kuna wakati wa siasa na porojo na kuchangamsha genge. Chini ya Magufuli porojo, siasa na kuchangamsha genge havitakuwa na nafasi kubwa kwani sasa tunaelekea kuanza kujenga upya taifa letu, na inaonekana tunaanza kujenga kuanzia chini tena kwani tulifikiri tumefikia mahali pa kupaua na kugundua kuwa misingi yenyewe haikuwa sahihi au imebomolewa.

Tunasimama nyuma ya Rais kwa sababu tunatambua kuwa jambo kubwa kabisa ambalo analisimamia na limeelezwa vizuri na Makamu wa Rais – Bi. Samia Suluhu Hassan – jana ni kuwa kazi yao kubwa ni kuleta nidhamu. Na nidhamu inasumbua. Kuwataka watu wakae kwenye mstari wakati wamezoea kuchomoka chomoka ni kazi sana hasa kama kule kuchomoka chomoka kulikuwa kunawafanya waishi mjini. Tunaunga mkono nidhamu hii kuanzia ya matumizi ya fedha, matumizi ya muda, na matumizi ya raslimali zetu; nidhamu ya matumizi sahihi ya vipaji na vipawa vyetu, ujuzi wetu na uwezo wetu. Nidhamu hii kuirejesha na kuidumisha kunahitaji uongozi unaotambua kuwa – kama wanamuziki walivyoimba zamani – “nidhamu ya kazi ni msingi wa mafanikio mema kazini” ndio njia pekee ya kuweza kujenga jamii ya watu waliofanikiwa.

Tunatambua bila nidhamu ya kweli juhudi zote za kujiletea maendeleo zitakwama. Tunasimama nyuma ya Rais kwa sababu tunaamini kuwa kwa wakati huu na zama hizi mpya Tanzania inamhitaji kiongozi ambaye siyo tu anajua anachotaka kufanya lakini pia anaonesha namna ya kufanya yeye mwenyewe.

Tunatambua pia kuwa kiongozi baada ya kusikiliza maoni na mapendekezo mbalimbali mwisho wa siku ni lazima aamini katika uwezo wake, malengo yake na uthubutu wake wa kutenda na kusimamia kile anachotaka kufanya. Magufuli hadi hivi sasa anafanya kazi nzuri na yenye kustahili pongezi kwani kwa mara ya kwanza tunaweza kuona ni jinsi gani taifa lilikuwa limedeka na kudekezwa katika namna fulani ya maisha kiasi kwamba ikawa ni starehe. Starehe hii sasa imeisha na watu wanatakiwa kuamka na kufanya kazi kwa mujibu wa sheria, taratibu na uongozi.

Kiongozi anatakiwa kuongoza na siyo kufuata; Magufuli sasa anaongoza. Tuko nyuma yake, tunamuunga mkono! Na binafsi naamini anaongoza kidemokrasia zaidi wakati huu kwani anatumia ipasavyo matokeo ya uamuzi wa kidemokrasia kufikia malengo yake ya kampeni.  FB_IMG_1464744278669Go Magufuli Go!

Beauty is in the eye of the beholder: Mrs Twaakyondo katika ubora wake!

photoBella Ayugi, Mrs Twaakyondo katika ubora wake. Hapa akiwa kwenye ufukwe wa bahari akipunga upepo. Kapendezaje sasa! Too cute! Hips don’t lie ?? A real African Queen must have a “curvy” body ??

Watu huwa wanasema kuwa “beauty is in the eye of the beholder”! Truly agree with this! Kuna watu ambao wanafikiria kuwa mwanamke mwembamba ndio mzuri haswa today’s society hii ya Instagram na Snapchat! Nakuna watu ambao tunaona wanawake wenye mwili wa wastani ndio wazuri, na kuna watu ambao wanaona ‘over size’ women are more beautiful!

But ukweli ni kwamba the real beauty is  all about attitude and confidence that one possesses! And true beauty comes from within! Unaweza ukawa “kimbaumbau mwiko wa pilau” Lakini your attitude, confidence, and character tells something else!…….My personal opinion and I believe many will agree with me is that, any woman (regardless of her size) will look beautiful and attractive if you have positive ‘maturity’ attitude, confidence and yet humble, and a kind heart! Yani, wewe hata kama una vaa size zero lakini roho yako ni yakishetani shetani basi watu hawato ona your body figure bali the devil that is dwelling in you!!……Btw, wataalam wanasema curvy figures are the best in bed and the best romantic partners ???

Jipende jinsi ulivyo! Jikubali na ujithamini wewe mwenyewe! Bado nasisitiza “A real African Queen must have a curvy body” ??

To read other post about Bella click links  ?

Bella_Homecoming, Mrs & Mrs Twaakyondo

Bella Ayugi

Hii ni miguu ya yule mama ambaye amekuzaa!

Hii ni miguu ya yule mama ambaye amekuzaa na kukulea handsome wewe unayeng’aa na kuzungusha round ya laki na ishirini huku mkononi unazungusha kiufunguo chako cha alteza uliyokopa baada ya kumaliza miezi sita ya probation hapo ofisini kwako!! FB_IMG_1465828699359Miguu ambayo ilihangaika kwa kuuza pombe, maandazi, na kutembea kilometer 20 kwenda shamba alime ili wewe upate ada iliyokusaidia primary, ukafanikiwa kuingia sekondary na hatimaye chuo kikuu!!

Ni miguu hii hii ambayo bado ipo katika hali hii hii ikimaanisha ule ugumu wa maisha uliokuwepo katika kukuhudumia wewe bado upo wakati tayari una nafasi ya kuweza kumuhudumia mwanamke huyu aliyekuleta duniani unamsahau unahudumia mimwanamke inayotaka kula bata kila siku! Kama umeweza kuzungusha round basi unaweza kuturn around maisha ya mwanamke huyu aliyekufikisha hapo ulipo!!

If you still have your mom, if you still have your parents, time is now usisubiri mpaka ziwe nyingi ndio uweze kuwahudumia, let them be proud of you now, today, Because utapokujarealize umuhimu wao! It might be too late and when you look back at your success and accomplishment, there will be an empty space in your heart, no meaning! Loneliness and lifetime grief! This is to all our precious mothers and the hustle they went through to make us what we are today!!

My attitude today: Embrace yourself!

2016-06-13 08.16.15

Be A real Man & show that Not all men are sexual perverts

Some girls are so used to being used that they can’t even receive love or compliments without thinking there is a hidden agenda of sex behind it. To sleep with or take advantage of such girls is easy because they are vulnerable. But a real challenge for a man is taking one of these girls who has been abused verbally, sexually, or not had a father in her life and then loving her unconditionally and building her up and making her feel like she is the most special girl in the world. Some girls just need to be led to the mirror mentally and emotionally and shown their true worth and beauty. Fellas, Learn to build such women up without asking for something in return. They need someone to show them the Jesus type of love. No strings attached. FB_IMG_1465820749110The biggest temptation i face on a daily basis comes from broken girls who come looking for help. Many of these girls have not had a father figure in their life who loved them and protected them unconditionally. Many of them have never seen what real love from a man can be like. All they have known is men who have abused them verbally, sexually or emotionally. So when they come looking for help, many of these girls are shocked when they notice i give them my help unconditionally. Most feel like they ought to give something in return. They are suprised to discover that there are men out there who want nothing from women except to build them up. Not all men are crooked. Not all men are sexual perverts. Pastors and other counsellors please don’t take advantage of vulnerable women who are wounded. Don’t slaughter them but lead them to Christ for inner healing. Let’s be the man and change the world.

Source: Get-inspired by Ti-Sha

 

Kheri ya siku ya kuzaliwa wifi yangu

IMG-20160612-WA0000-1Kheri ya siku ya kuzaliwa wifi yangu……nakutakia maisha marefu yenye baraka nyingi sana. Happy birthday, much love!

Hot pic of the day

FB_IMG_1465790965556Lupita Nyongo at Tony’sAwards….. looking beautiful as always  ❤❤❤

Mother and daughter moment

FB_IMG_1465737539915❤❤❤❤

A mother’s prayer for her children

FB_IMG_1465792932183-1This is all I will ever wish for my Kids. Despite all the academic lessons they may get from school. I also want them to serve communities……..Maryam’s giving water to our dear fellow Muslims who were just about to break their fast. Muna who is one of the sisters that assists in organizing the Iftar, told Maryam to give away water! Ooohh, THIS MADE ME SO HAPPY. ……May God bless you all who have continuously organized this traditional annual Iftar. ?? Maryam akiwa anagawa maji wakati wa kufungulia… FB_IMG_1465791485452FB_IMG_1465791379045Time like these help us to raise our kids to be humble and to remember we are all human beings despite our colors or religions. It teaches our kids to be humble and kind to people. We are all going to die; we are in the world temporarily.Time like these help us to raise our kids to be humble and to remember we are all human beings despite our colors or religions. It teaches our kids to be humble and kind to people. We are all going to die; we are in the world temporarily.}- Ms. LBFB_IMG_1465791305053FB_IMG_1465791267700May God hear her humble prayer!

Ramadhan & Jumaa Kareem!

FB_IMG_1465357603720Ramadhan AND Jumaa Kareem to all my Muslim readers, friends, and family!…….. Happy Sabbath to my fellow believers!……….Praise the Lord!……….❤❤❤

My attitude today: Out of the abundance of his heart, his mouth speaks

2016-06-10 12.41.45-1

Celebrating June babies! Happy birthday to us!

Screenshot_2016-06-07-13-19-09-1Niliona hii msg kwa Katarani_Karatu nikafurahi kuwa tumezaliwa mwezi mmoja na tunapishana only 4days! Basi nikawa curious kujua ni wakina nani na-share nao birthdays! Nikakuta celebrities wengi sana wamezaliwa June. Nimejaribu kuchukua wachache tuu kwa niaba ya wote waliozaliwa June…..I wish them a very happy birthday to all June babies including myself! We Rock!!…..btw, I used to share birthday with my darling cousin-brother, but he’s no more, (pic below ?) may His lovely soul continue to R.I.P …….ok, enjoy the pics

Late bro. William and I. He was born June 28th
Late bro. William and I. He was born June 28th

Screenshot_2016-06-10-12-02-02-1

Katarina_Karatu, June 22
Katarina_Karatu, June 22
Cousin-brother, Willy, June 9th
Cousin-brother, Willy, June 9th
Screenshot_2016-06-10-08-23-52-1
Vanessa Mdee, June 7th
Khloe kardashian, June 27th
Khloe kardashian, June 27th
Screenshot_2016-06-10-08-22-31-1
TD Jakes, June 21st
Screenshot_2016-06-10-08-21-13-1
TB Joshua, June 12th
Screenshot_2016-06-10-07-53-26-1
Sasha Obama, June 10th
Screenshot_2016-06-10-08-03-35-1
Ice Cube, June 12th
Screenshot_2016-06-10-07-49-54-1
Kanye West, June 8th
Screenshot_2016-06-10-08-05-05-1
Venus Williams, June 15th
Screenshot_2016-06-10-07-54-51-1
Faith Evans, June 10th
Screenshot_2016-06-10-07-50-22-1
Zac Van, June 9th
Screenshot_2016-06-10-07-49-16-1
Iggy Azalea, June 7th
Screenshot_2016-06-10-07-59-36-1
Ash let Olsen, June 13th
Screenshot_2016-06-10-08-03-41-1
North West, June 15
Screenshot_2016-06-10-07-59-26-1
Mar-Kate Olsen, June 13th
Screenshot_2016-06-10-07-45-20-1
Suze Orman, June 5th

Screenshot_2016-06-10-08-05-32-1Screenshot_2016-06-10-07-48-54-1Screenshot_2016-06-10-07-44-58-1Screenshot_2016-06-10-07-44-09-1Screenshot_2016-06-10-07-42-56-1Screenshot_2016-06-10-07-42-42-1Screenshot_2016-06-10-07-39-45-1Screenshot_2016-06-10-07-38-26-12016-06-10 09.10.05Screenshot_2016-06-09-08-52-44-1Screenshot_2016-06-09-08-50-39-1Screenshot_2016-06-09-08-49-58-1Screenshot_2016-06-09-08-50-25-1Screenshot_2016-06-09-08-52-34-1Screenshot_2016-06-09-08-49-31-1Screenshot_2016-06-09-08-49-01-1Screenshot_2016-06-09-08-49-42-1Screenshot_2016-06-09-08-48-27-1Screenshot_2016-06-09-08-49-20-1Screenshot_2016-06-09-08-46-48-1Screenshot_2016-06-09-08-48-41-1Screenshot_2016-06-09-08-46-06-1Screenshot_2016-06-09-08-48-20-1

Lady JayDee, June 15th Lemutuz_nation, June 25th
Lady JayDee, June 15th
Lemutuz_nation, June 25th
Randy Jackson, June 23
Randy Jackson, June 23

Father and daughter moment

Screenshot_2016-06-09-19-25-15-1Nice pic Michael, and Happy 31st birthday Theresa

Posho haikustahili kulipwa kwa Wabunge wanaolipwa mshara kila mwezi- Stephen Mndalila

Screenshot_2016-06-09-18-11-32-12015-04-22 21.13.43Kama wote tulivyo sikia kuwa Naibu Spika amesitisha posho kwa wabunge wote ambao wata sign kuwa wapo bungeni halafu baadaye kususia bunge kwa kutoka nje. Sina huwakika hii formula kama ina apply kwa wale wabunge watoro………basi RC Paul Makonda ali post hili swala kwa Facebook yake na kuomba maoni ya watu! Wengi wamefurajiya na kuunga mkono hoja hiyo. Na mmoja ya watu waliotowa maoni yao kuiunga mkono joja hiyo ni Stephen Mndalila. Naye maoni yake yalikuwa kama yafuatavyo:-

FB_IMG_1465514043663-1I think we need yo think about commonsense solutions! Wanyimwe posho na mshahara kwani kuna wabunge waliokataa kupokea posho na haiathiri maisha yao wala kutekeleza majukumu yao! Kwanza posho haikustahili kulipwa kwa wabunge ambao wanalipwa mshahara kila mwezi! Posho ni kuwaibia watanzania jasho lao! Eti unalipwa posho ya kukaa kwenye kikao wakati unalipwa mshahara na marupurupu? Posho iondolewe kwa kila mbunge na fedha zipangiwe shughuli zingine za maendeleo ya wananchi wengi walio masikini! Tuna jumla ya wabunge 396 na kila mmoja akilipwa posho ya laki 2 kwa siku na kujikimu ni laki moja na 20 kahiyo kwa wabunge wote kwa siku wanalipwa posho ya kukao jumla ya 79,200,000/- milioni 79 kwa kila siku wanapokuwa kwenye kikao! Na posho ya kujikimu ni jumla ya 47,52000/- milioni 47 laki 5 na 20! Mshahara kwa mwezi milioni 8! Awe amechangia hajachangia lolote bungeni analipwa! Kwanini hizi pesa za posho zisiondolewe na zikapelekwa kwenye kujenga hospitali na kununua dawa au kununua madawati au kujenga nyumba za walimu? Ifike kipindi kuwa mbunge ni kujitolea na isiwe sehemu ya kutajirika kupitia kodi ya wananchi labda wabunge watafanya kazi kwa bidii kwa sasa everything look luxury wakati watanzania wengi wanasota na umaskini!

Waachie wenye meno watafune….

2016-06-09 12.50.34Huu ujumbe nimeutoa kwa one of my friends ila sikutaka ku display his name over  here ?? nimecheka halafu ukanikumbusha wimbo fulani wazamani (Mama Maria by Marijani Rajabu) wenye chorus ambayo baadhi ya maneno yake yanasema “hao ndio wenye kukaanga mbuyu tuwaachie wenye meno watafune” ?? ……sometimes vitu vingine unaviona ni vizuri kabisa, tena vinavutia haswa, unatamani kuwanavyo lakini kama ni mtu unaye jitambua ni vyema kusema ndani ya nafsi yako kuwa HAPANA! I can’t afford / handle it! Unaviangalia kwa macho unageuza shingo upande wa pili maisha yanaendelea. Lakini ukijifanya mbishi basi ndo unakutana na “wenye meno”! ……..haya ngoja niwawekee  huu wimbo hapa kama our #ThrowbackThursday

Aliyeandika huo ujumbe ali add na hiyo picha ? I am just curious to know hili “dongo” kapigwa nani?? Japo nimemuuliza muhusika akadai something just got his attention ?? ?????? umbea raha sana kama ukijuwa wahusika LOL! But today let us say to whom it may concern ???

FB_IMG_1465492637383

Blog