Kutana na Chef Raphael

FB_IMG_1463319156810Haya kama unataka kuongeza maujuzi ya kupika mapocho pocho au unataka kujifunza kupika basi huna budi ku-like page ya Chef Raphael huko Facebook. Utajifunza mengi sana kuhusu mapishi! Screenshot_2016-05-15-08-35-12-1

Father and daughter moment: Mtoto wakike naye ni wathamani!

FB_IMG_1463318790227baba ni mtu anayetakiwa kuwa mlinzi (protector) wa watoto wao haswa watoto wa kike. Watoto wakike huwa wanategemea sana baba zao as their shield in any kind of trouble. Wajibu huu 2015-04-22 21.13.43usipotimizwa ipasavyo huwa unaleta madhara makubwa sana kwa watoto wakike na jamii kwa ujumla kwani ustawi wa jamii yoyote ile inategemea sana mwanamke! Kuna wababa ambao huwa wanachagua watoto; yani anaona mtoto wa kike hana thamani sana kama mtoto wa kiume. Au anaona hawana umuhimu wowote ule. Sasa chakushangaza ni kuwa YEYE MWENYEWE KAZALIWA NA MWANAMKE! Ili ukoo wake usonge mbele / uwendelee kukuwa unahitaji wanawake! Sasa sijui kwanini aone kuwa watoto wakike hawana umuhimu! ……wababa pendeni na kuwalinda watoto zenu wakike kama mnavyo penda watoto zenu wakiume kwani nao wanathani sana kama hao wakiume.

“The status of women in Africa is also personal to me as woman!….. see what I want you all to understand is that; I am who I am today because of the people in my family particularly the men in my family! Who valued me, and invested in me from the day I was born……… any man who uses his strength to oppress women is a coward” – Michelle Obama …… Msikilize ?

Ubarikiwe sana baba mwema!

Kutoka Facebook

12694148013Beautiful picture of my friend Rose and her husband Dr. Thomas Ongwela from Kalamazoo, Michigan. ❤❤❤

“Siwalaumu kwasababu elimu hii imepuuzwa”

FB_IMG_1463273440877Ni bahati mbaya sana kwamba shuleni tunafundishwa jinsi ya kuwa mwanasheria, wahandisi au daktari hatufundishwi jinsi ya kuwa ‘mwanamume’. Matokeo yake unakuta mwanamume anashindana au anapigana na ‘mwanamke’ au wanajibizana maneno kwenye simu au Instagram au Facebook au what’s up. Toka wakiwa watoto vijana wa kiume lazima wafundishwe kuwalinda na kuwahifadhi dada zao. Ili wakiwa wakubwa wawalinde na kuwatetea wake zao. Kukosa kufanya hivyo ndio unakuta mwanamume mtu mzima anapigana na binti baa au club, au anashindana na binti kupanda daladala, au anampita mama mjamzito kwenye foleni, halafu anajiona mjanja wa mjini, siwalaumu kwa sababu elimu hii imepuuzwa. 

2015-04-22 21.13.43Kaka yangu, umesema kweli kabisa kuwa elimu hii imepuuzwa. Asante kwa kuliona hilo. Lakini hukusema nani aliye ipuuza?! Maadili huwanzia nyumbani. Watoto hujifunza kwa kuangalia wazazi wao wanafanya nini na si kusikia wazazi wanasema nini! Wazazi wanaweza ongea sana lakini kama wao wenyewe hawaishi kulingana na kile wanacho kisema basi ni bure! Hili limekuwa ni tatizo kubwa sana na imesababisha wazazi wengi wa wakizazi hichi cha karne hii kupungukiwa na maadili na hekima! Utakuta wengi wanajua kuongea lakini angalia matendo yao je yanaendana nayale wayasemayo?! Sasa hicho ndicho nawao walicho jifunza  kutoka kwa wazazi wao ‘kuongea bila matendo’! Baba anasema heshimu wakubwa wakati huo huo baba huyo huyo anamtukana na kumdhalilisha mama / mkewe mbele ya watoto! Unafikiri watoto watajifunza nini? Don’t get me wrong siungi  mkono udhalalishaji wa aina yoyote ule. Haijalishi unafanyika mbele za watu au in privite! Nalaani vikali mno!……Pia tatizo lingine wakina baba (haswa wa Kiafrika) walio wengi wako very selfish! It’s all about how they feel bila kujali watu wengine haswa watoto zao wanajisikiaje. Mawazo ya watoto hayathaminiwi kabisa katika ngazi ya familia! Basi na hii imechangia sana watu kuwa selfish kwasababu kila mtu anafikiria nafsi yake yeye mwenyewe hata kama wengine wanaangamia ilimradi yeye anafurahia moyoni mwake basi hiyo ni sawa!

Tunatakiwa tubadilike, na mabadiliko yanaanza na wewe mwenyewe. Its about time to start a real talk about ‘familyhood’ in African families particularly Tanzanian community! When you know better you do better!

Hakiki simu yako kabla ya kununua!

FB_IMG_1463273440877Nimetafakari sana suala la simu FAKE nchini Tanzania. Nimetafakari sana uamuzi wa kuzizima simu FAKE hizo mwaka huu. Nimejiuliza maswali mengi sana, simu FAKE hizo zimeingiaje Tanzania? Zimeingia kupitia mlango gani? Hayo maduka yanayouza yameruhusiwa na nani? Mwananchi mnyonge anayenunua kwenye duka la simu kosa lake Nini? Nani katufikisha hapa kiasi cha kuwatia hasara wananchi wetu? Hatua gani zimechukuliwa dhidi yao?

FB_IMG_1462685155600Simu bandia na vifaa bandia vya electronics vimeleta maafa makubwa sana, nyumba nyingi zimeungua, watu wamedhurika hata kupoteza viungo vya miiko yao. Uhalifu unaongezeka. Nani alaumiwe? Wako wanaozitaka hizo feki kwa matumizi maalumu (uhalifu)! Wananchi wengi wanapoteza fedha, serikali inapoteza mapato (hazipitishwi njia halali hivyo hazilipiwi kodi)!

Tunahitaji kuwa salama, tunahitaji kuepuka madhara tusiuoyajua kwani hazijulikani zinatengenezwa na nini!Simu feki sio za kutoka China, yako Mataifa sugu kwa kutengeneza simu bandia! Hakiki yako sasa, huwezi kujua umebeba nini na unakaa nayo 24%! Serikali imefanya uamuzi huu baada ya kutoa tahadhari tangu 2010 na kutoa miezi 6 ya kuelekea ukomo wa matumizi ya simu bandia 16/6/2016 Kweli? Wananchi wsmetahadharishwa tangu Juni 2010! Taarifa zimetolewa kwa njia mbalimbali zaidi ya miaka 5! Wakati Kenya ikizima simu bandia serikali ililaumiwa kwa nini hamfanyi kama Kenya! Makampuni ya simu yametuma text message kwa kila mwenye simu kuhakiki simu yake kabla ya kununua!  FB_IMG_1463273378767Wajibu wa TBS tunaujua? Kazi yao sio kuzuia vitu bandia bali kuweka viwango na kuthibitisha ubora wa bidhaa (Angalia Mandate Yao kwenye sheria iliyoanzisha Shirika).

TCRA haina mamlaka ya kusaka wala kuzuia bali kusaidia soko kujua na kutambua vifaa vya mawasiliano vyenye kukidhi viwango vilivyowekwa na ITU na WHO na kutoa leseni  kwa waagizaji na wasambazaji wa vifaa vya mawasiliano. Iko maabara ya kukagua vifaa kuanzia minara, vifaa vya utangazaji na vyote vya mawasiliano.

FCC ndio wenye dhamana ya kukagua, kusaka na kuharibu bidhaa bandia kwa ujumla. Wanafanya kazi yao vizuri. Tatizo ni kuwa bidhaa bandia ni uhalifu wa kimataifa na zinatumika mbinu mbalimbali kuziingiza nchini. Ilichofanya TCRA ni kuleta teknolojia ya kuzitambua simu bandia kuunga mkono jitihada za kimataifa kukabiliana na tatizo hili.

Vitu bandia ni vingi, unahitajika ushirikiano wa wananchi kuisaidia serikali kupambana na uhalifu huu badala ya kufikiria “kutumbua” tu. Tuwatumbue kina nani kuhusu fedha bandia? cheni bandia? Tushirikiane kuzuia Tanzania kuwa soko la bidhaa bandia. Chukua hatua, hakiki simu yako leo, usinunue simu bandia.

Jumma Mubarak

FB_IMG_1463159301149Jumma Mubarak kwenu nyote. Weekend njema pia. Sorround yourself with greatness and love! ???

Hang in there, Sabbath is coming!

FB_IMG_1462641687347-1Nawatakieni maandalizi mema ya Sabato na muwe na Sabato njema ???

I decided not to coexist anymore with pretense, hypocrisy, dishonesty and cheap praise!

FB_IMG_1463149912512

Hot shot of the day

Screenshot_2016-05-12-18-10-15-1The Bosslady herself, looking great like always??

Mahojiano ya Swahili TV na baadhi ya Watanzania jijini Houston, Texas

Sikiliza mahojiano na baadhi ya Watanzania walio udhuria sherehe ya maisha ya Andrew ‘Drew’ Sanga a.k.a King 404 ambayo yamefanywa na Swahili TV

https://youtu.be/fi1C9o1fF80

Happy birthday Nick

FB_IMG_1463147567075They say to get the true value of love you must have someone to divide it and share it with. Am glad it is you Nick Mkapa. Even if I was given another chance to choose, I would still choose you. Happy birthday darling, baba Nigel Mkapa Jr. , baba Nathan aka the big guy. May your cup of blessings overflow with goodness from the Lord above. May you be blessed with a long, happy and healthy life to see your children’s grandchildren. Be blessed and enjoy your dayFB_IMG_14631442326162015-04-22 18.13.36Happy birthday baba Nathaniel. Nakutakia maisha marefu, yaliyojaa baraka, na furaha nyingi sana kuzidi ya leo. Happy birthday mume mwema. Be blessed!

Mother and daughters moment

61418895547Mama Kimati  (far right), her beautiful daughter Mrs Nyongo  (left side), and the very newly bride  (Mrs Nyongo’s best friend) in the middle! You guys looking b-e-a-u-t-i-f-u-l-y! Mama Kimati is very far from aging; gorgeous! African queens ……..mbarikiwe sana!….photo was taken during the bridal shower in Sydney, Australia. Mama Kimati current yupo Australia visiting her daughter.

Cheka uongeze siku za kuishi!

Screenshot_2016-05-11-21-10-03-1Wakati mwingine ni vyema kufanya utani kuhusu wewe mwenyewe, ni njia moja wapo ya ku accept the situation and to easy the pain!

Hot shot of the day

FB_IMG_1463057198227Isn’t that pretty! African print fashion is getting better and better with time! So beautiful!

Credit: Flabuleux fashion

#TBT

FB_IMG_1463054450256#TBT #Myself  #2000 #WhiteSandHotel

UMEACHWA NA MTU UNAEMPENDA? HII INAKUHUSU

FB_IMG_1463018925418Ipo siku utakuja kukutana na mtu ambae atakufanya usahau maumivu yote ya mapenzi ambayo umepata kukumbana nayo. Ambae atakufanya uwe na furaha Ambae atakuja na kukupenda pasi na kikomo licha ya hali ulionayo. Utakuja kumpata ambae atajivunia kuwa na wewe na kuwa tayari katika mahusiano na wewe. Ambae atakubali kubeba madhaifu yako. Pia atakuwa na hofu ya kukupoteza na hatatumia past yake kukuadhibu wewe! Na atakuwa kila kitu kwako. Najua utaona kama uongo tu na kujifariji lakini nakuomba niamini siku moja utampata mtu huyo muhimu kwako ambae atakuwa wako peke yako. Mungu tayari anae huyo mtu kwa ajili yako na anasubiri wakati muafaka akupe mtu huyo. Acha kulia lia songa mbele. Kuendelea kulia na kulazimisha maji kupanda mlima ni kujipotezea muda wako wa kuwa na huyo mtu mtarajiwa wako. Kuwa tayari kumkumbatia huyo mtu atakapofika. Umeanguka katika mahusiano? Inuka kung’uta vumbi na songa mbele kukunjwa jamvi sio mwisho wa maongezi. Subira yavuta kheri.

Source: Emma Mbasha’s Facebook 

Is it true that money is the best lotion ever!

Screenshot_2016-05-11-10-58-58-1????????????????   You be the judge!

AMEN! AMEN!

FB_IMG_1460896364662

Hot shot of the day

FB_IMG_1462980969555-1-2Hot shot of Zainabu Kilonzo from Da es salaam. Nimependa mpangilio wa mawazi yake. Nice one!

Birthday inspiration msg: “Don’t run or hide from pain, use the pain from your experiences to make you great!”

FB_IMG_1462978806989On this day , the 8th of May a baby girl was welcomed into this world and named Shalom Peaceful. It is on this day that I won my first battle. I was born crying and it surely was not a sign of weakness or to show life, but victory as I defeated death. The babies that fail to fight and conquer their first battle usually don’t make it to life but I am glad that I won victory with the little strength of an infant. My mother’s womb could not hold me any longer and neither could anything stop me from coming into this world because it was God’s appointed time for me. I became unstoppable and every time I feel like giving up , I reflect upon this day and remember that I won my first battle on my first day with little strength, and now with God in me, I can survive any situation.

Over the years i have learnt that many of life’s lessons come from the pain we feel of seeing things not go as expected. It seems that life hurts us most when we are willing to take the risk of putting ourselves out there, only to find that doing so put us in the position of being discouraged and let down after a while. Take heed, for it is in these times we can truly see some tremendous growth in our lives. Choose to look at the lessons that life is teaching you when things aren’t seeming to go your way. The pain of being disappointed is unavoidable. But the manner in which we solve getting over the suffering we feel is closely related to gaining strength that we can use to help deal with discouraging moments for the rest of our lives. Don’t run or hide from pain, use the pain from your experiences to make you great! There are happy endings in everything we do if we are willing to believe that we are tremendous souls who can leave a valiant impression upon this world if we refuse to give into doubting unfavorable thoughts. Instead of being a person who lets life trample their spirit over and over, be a person who continues to climb their obstacles no matter how high they seem to be. You can make your life a great life! Shock the world by keeping a can-do attitude in every possible moment ?

Regardless of what happens to you, never say you are having a bad day…say you are having a character building day. All the things that you are going through are building your character. You are being shaped and designed for your greatness. You have something special! You have GREATNESS within you!!

I would like to thank you all for taking your time to congratulate me and celebrate this life with me. As my name says it all, I say Shalom to you, may there be peace to every area of your life, family, ministry, relationship/marriage and business.

Credit: get-inspired with Tysha

Blog