Mwili wa Andrew ‘Drew’ Sanga a.k.a King 404 umewasili Dodoma!

_MG_6971Mwili wa mpendwa wetu Andrew Sanga a.k.a King 404 umewasili Dodoma usiku wa jana (masaa ya Tanzania). Pichani ni baba yake Andrew alipokelewa na wenyeji wake. _MG_7007Mama Zoe ambaye ni mzazi mwenzie na Andrew akilia kwa uchungu mbele ya jeneza la mpendwa baba wa binti yake. _MG_7003Ndugu na jamaa wakilia kwa uchungu mwingi sana _MG_6999Inasikitisha sana _MG_6988Tunawatakieni mazishi mema. Mungu awe nanyi. Na apumzike kwa amani katika amani ya Bwana ndugu yetu Andrew Sanga.

Picha zote shukran kwa Dodoma yetu blog. Kuona picha na kusoma habari hii zaidi bonyeza ?Dodoma-yetu

Mamia wajitokeza kumuaga Andrew Sanga

_MG_6707Mamia ya ndugu, jamaa, na marafiki waishio Dar es salaam, Tanzania wajitokeza kumuaga Andrew Sanga. _MG_5993Binti wa marehemu Zoe Sanga akiwa na mama yake. Mungu awatangulie katika kila jambo. Zoe we love you baby girl! _MG_5826Andrew amewapa Watanzania wengi wasiyo mjua mshangao wa hali ya juu. Kwani wengi wamekuwa wakiulizana huyu ni Andrew gani na alikuwa nani mbona ameagwa “kifalme’ namna hii! Ni ngumu kuelezea lakini hata sisi tulio mjua dakika zake za mwisho tumekutwa tukiguswa sana na Andrew kwa kusikia tu habari ya upendo wake japo hatukuwahi kumuona!_MG_5857Wazungu wanasema “pure love will never return to you void”! Kilichotokea kwa Andrew ni matunda au thawabu ya upendo wa kweli! Mungu atusaidie upendo huu tuupeleke kwa mtoto wa Andrew; Zoe, pamoja na wazazi wake! _MG_5778Mwili wa Andrew umesafirishwa leo kwenda Dodoma ambapo ndipo baba yake mzazi anaishi na ndipo alikulia. _MG_5722Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe milele zote.

Picha zote shukran to Dar es salaam-yetu blog. Kuona picha zaidi bonyeza hapa ? Dar es salaam-yetu

Tazama video ya mapokezi na ibada ya Tanzania ?

Kichuna wa Kizaramo katika ubora wake!

FB_IMG_1462383044758That dress is so beautiful and that smile just killed it! Amazingly beautiful!

Just me being me!

20160429_184354_157Let Alpha be Alpha life is very ‘limited’ to be Omega ?? 20160429_184352-1-1Jamani napataga shida kufumbua macho bila miwani, nakua kama Muhaya aliyekesha bar ??  20160429_184438Bless me now oh gentle savior…..do not pass me by?20160429_184404-1My “back yard” is very big! Can be seen even under that big jacket ???  20160429_184354_1405All pictures taken in Kalamazoo, Michigan, April 29th, 2016

Kutoka Facebook

FB_IMG_1462381073551-1Picha niliyo ipenda leo toka Facebook ni ya Ms. Zainabu Kilonzo. Kapendeza sana

GOR Mahia FC for Dr. Magufuli!

FB_IMG_1461776731227Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Joseph Magufuli bado anatengeza headlines! Club ya mpira wa miguu iliyopo inchini Kenya ujulikanao kama GOR Mahia FC hivi karibuni imefungua branch yake kwa jina la Magufuli branch! You go Dr. Keep making us proud! May God keep protecting you ?

Mr and Mrs Owino’s wedding

2016-05-04 08.49.21Nawatangazieni walevi wote, heshima muhimu kwani huyu sasa ni mke halali wa Mr Francis Eron owino Ang’iela! Hongereni sana. Nawatakieni maisha mema, ndoa njema, furaha, na amani ndani ya nyumba yenu! 2016-05-04 08.57.27Wana waka waka…… Wana meremeta….. 2016-05-04 09.09.102016-05-04 08.56.332016-05-04 09.04.06Mtu na binamu yake, pendeza sana 2016-05-04 09.16.55Jamani naomba nimtambulishe shangazi yangu kipenzi mama wa bibi harusi. Ni huyo ☝ aliyevaa kitenge. Na pembeni yake ni mama yangu mzazi. Mjomba wangu ambeye ni baba mzazi wa bibi harusi hakuweza kushuhudia tukio hili la kihistoria kwa maisha ya mwanae kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake! ……. Miaka zaidi ya mitandao (5) oliyopita baba wa bibi harusi alipatwa na ugonjwa wa kupooza mwili ambao umemfanya amekuwa mlemavu wa viungo na partially blind! Hivyo hawezi toka nje ya nyumba yake……. tunamshukuru Mungu kwa yote! 2016-05-04 08.53.02?? mama zangu nawaona!….. kitu ambacho sielewagi ni kwanini maharusi huwa wana kwenda baharini ?? don’t get it 2016-05-04 09.19.02??? mtoto wa shangazi yangu Maria Otedo mama Ngosha na kuona mwenyewe kwenye mapozi ya habarini na shangazi yako lol! 2016-05-04 09.03.12wow! Mtu na mama zake! Pendeza sana. Lawyer, I love your outfit! So cute!2016-05-04 09.05.12Pendeza sana wapendwa 2016-05-04 08.59.26Nani kama mama! Mama Igogo I love your shoes ?  2016-05-04 09.06.31Nice one! 2016-05-04 09.20.28??? hii picha kila nikiitizama naishia kucheka! Sijui mlikuwa mnaimba nini Magreth utafikiri ulikuwa unamsuta mtu lol! 2016-05-04 09.17.392016-05-04 09.05.122016-05-04 08.50.472016-05-04 08.55.482016-05-04 09.11.472016-05-04 09.07.57Blessing naye alikuwepo making her own show lol! 2016-05-04 09.13.262016-05-04 09.10.452016-05-04 08.54.282016-05-04 08.57.27Kwa mara nyingine tena, hongereni sana maharusi. Wishing you the best!

Who killed Henry Kiherile?! #JusticeForHenry

On Wednesday, April 6, 2016, at approximately 11:08 p.m., Mr. Henry Kiherile was shot and killed during a robbery, in the 1200 block of Bigelow Street in Houston, TX. Investigators believe Mr. Kiherile picked up an individual in his vehicle and took them to the location where he was later discovered. Mr. Kiherile was then shot multiple times by an unknown suspect and robbed of his vehicle, laptop and iphone. Mr. Kiherile’s vehicle was recovered a week later at an apartment complex located in the 9600 block of Homestead. MURDERCARMURDERCAR

The family of Henry Kiherile is requesting the help of the community in finding the individual(s) responsible for this murder.

This case is still open pending new leads. See photo below of Mr. Kiherile. MURDERVICTIMCrime Stoppers will pay up to $5,000 for information leading to the charging and/or arrest of the suspect(s) in this case. Information may be reported by calling 713-222-TIPS (8477) or submitted online at www.crime-stoppers.org. Tips may also be sent via a text message by texting the following: TIP610 plus the information to CRIMES (274637) or via our mobile app (Crime Stoppers Houston). All tipsters remain anonymous.

Source: click here

To read Henry Kiherile death announcement  click here

Happy 6th birthday Rouguiatou

FB_IMG_1462336915820“I can’t believe it’s been six years already since i was blessed with this high-spirited bundle of joy. Watching you grow, it amazes me how smart and silly you can be. You FB_IMG_1462337597007already have such a big personality, I know i truly am blessed to experience life as your mother. It has been a journey but mommy will always love you and be there for you Happy 6th Birthday Baby Girl ??”

AttachmentHappy sixth birthday beautiful live long to conquer the whole world! Love you girl!

Happy birthday ShyRose Bhanji

Its My Birthday 2Day: Thank You Lord!  FB_IMG_1462280293106I want to take this moment to Thank Allah and my Beloved late Parents for giving me the opportunity to exist. (I will forever have you in my heart and may your souls continue to Rest In Peace).

My life todate has gone thru many experiences; some negative and some positive but for all this, I owe Special Thanks to my Lord for Surviving. 

 Like before and in the future, I value, cherish and count on the support of my Family, Friends, Colleagues na Watanzania wote. Asanteni sana. May God continue to Bless me so that I can be of service to my Beloved country-Tanzania and East Africa.  

AttachmentWishing you a very happy birthday my sister. You are such a humble, charming, and loving human being that deserves nothing but the best of the best! May Almighty God continue to bless you, shower you with aboundantly love and joy! Happy birthday Muheshimiwa. Love you big!

FB_IMG_1462341813630

A word of wisdom: “Human beings are interesting”

IMG-20160502-WA0004

Mungu atusaidie ?

Hongera sana Rose!

12694148013Hongera sana my darling friend Mrs. Rose O. Ongwela kwa kumaliza shahada yako ya pili MBA. Mungu azidi kukuongoza, nakutakia mafanikio makubwa zaidi ya hapo……(pichani ni Rose na binti yake aitwaye Precious). Rose ni rafiki yangu toka Kenya. IMG-20160430-WA0005Siku ya Juma Mosi April 30, 2016 ilikuwa ya mibaraka sana kwa Rose. Mibaraka hiyo ilianzia kanisani ambapo alipokelewa rasmi kuwa muumini wa dhehebu la Wasabato. Originally she was a Menonite beliver, but for the past 4 yrs she has been faithfully attending SDA church and studying the SDA belief! Hence, She joined the Seventh Day Adventist church by Professional Faith……… She then went, matched and received her MBA cerfificate ?? In the picture is Rose, her husband- Dr. Thomas Ongwela, and her precious daughter Precious! Don’t play with Texas ladies lol!…. Myself (RS), Rose’s daughter in law Mrs. Mercy Opiyo all the way from Dallas, Tx and her son Andrew at Kalamazoo Trinity SDA temple.  20160430_201712-1Rose and her husband at her graduation dinner. Rose received her MBA from Western Michigan University, Kalamazo, Michigan 20160430_201618Me and my partner in crime! 😍
20160430_211137 Shantel (Rose’s guardian daughter) and the graduate 20160430_210356_966O’my! How I love these ladies! Always happy to see them. The love is so geniune! My sisters in Christ! “The International Sisterhood of Kalamazoo Trinity SDA temple” From left: Ugandan, American, Zimbabwean, and Tanzanian #GodIsGood  ?  20160430_211040Nimesahau majina ya hawa vijana ?? anyway, once again, congratulations to you Rose ??

Friends for life!

20160429_194431Urafiki wa kweli huwa hauishi wala kupungua hata kama mnakaa dunia tofauti! Visited my true friend Rose Ongwela, April 29th, 2016. Kalamazoo, Michigan…….. Kinyumbani zaidi

How a doctor and his wife repaid debt to Tanzania

“Please, just come to Karatu.” That’s what India Howell, co-founder of the Rift Valley Children’s Village in rural Tanzania, a home for abandoned and needy children, told Dr. Frank Artress and his wife, Susan Gustafson.

Artress and Gustafson, who were already providing mobile healthcare in Tanzania, wanted to open a hospital in the city of Arusha, but Howell convinced them otherwise. “I don’t think she threatened violence per se,” Artress laughs, “but she did just say, you know, I have all these kids. And they really need good medical care.”

Artress and Gustafson, who were already providing mobile healthcare in Tanzania, wanted to open a hospital in the city of Arusha, but Howell convinced them otherwise. “I don’t think she threatened violence per se,” Artress laughs, “but she did just say, you know, I have all these kids. And they really need good medical care.”

On 60 Minutes this week, Bill Whitaker travels to the Rift Valley Children’s Village and meets Howell, its very persuasive American founder, and her Tanzanian business partner Peter Leon Mmassy. Together, they have opened a home that houses nearly 100 children. But that’s not all.

“If the kids were just fed and clothed and given an education you’d say, ‘Well, that’s terrific,'” explains correspondent Bill Whitaker. “These kids get so much more.”

In addition to the home, which consists of nearly two dozen buildings spread over nine acres, Howell and Mmassy opened two schools to serve both their kids and almost 700 local children. And faced with a dearth of doctors in the region, Howell set her sights on Artress and Gustafson, who opened the Foundation for African Medicine and Education (FAME) hospital just down the road in 2012. Screenshot_2016-05-02-16-13-55-1

Artress, a former cardiac anesthesiologist, and Gustfason, a former school psychologist, had a comfortable life in California until a brush with death made them rethink their future. Visiting Tanzania as tourists to climb Mount Kilimanjaro, Artress was stricken with high-altitude pulmonary edema, a life threatening condition, during the climb. “It’s sort of like heart failure caused by the high altitude,” he says. “Basically your lungs fill up with fluid. You drown; you can’t breathe.”

The hospital is also a training center, employing eight doctors, 30 nurses and nine lab technicians – all Tanzanian – as of last summer. “We believe in building capacity here, and doing that with Tanzanian healthcare providers,” Gustafson says. “That’s part of the bigger picture.”

Gustafson and Artress say running the hospital is a challenge, but they find it fulfilling, and they now consider Tanzania their home. “We had a moment of clarity,” says Gustafson. “I knew that it was time to do it. And so, you know, we did. And we have never regretted it for a minute.” Screenshot_2016-05-02-16-15-35-1The hospital is also a training center, employing eight doctors, 30 nurses and nine lab technicians – all Tanzanian – as of last summer. “We believe in building capacity here, and doing that with Tanzanian healthcare providers,” Gustafson says. “That’s part of the bigger picture.”

Gustafson and Artress say running the hospital is a challenge, but they find it fulfilling, and they now consider Tanzania their home. “We had a moment of clarity,” says Gustafson. “I knew that it was time to do it. And so, you know, we did. And we have never regretted it for a minute.”

Credit: CBSnews

Kutoka Facebook

FB_IMG_1462194768762My mtani, toto la Kihaya ndani ya jiji la San Diego, California weekend iliyopita alipokuwa amekwenda kusalimia ndugu zake na pia kusherekea graduation ya ndugu yake. Umependeza sana mtani wangu. Ubarikiwe sana

Are you sensitive?

FB_IMG_1461798504530Je na wewe ni mtu sensitive? Well, let me tell you if you don’t know me! Mimi ni mtu mmoja very sensitive and sentimental. Seriously, I am very-very sensitive and I am not ashamed of it!! My love to family members, friends, acquaintances has been always 100% REAL  lakini often nimekuwa misunderstood, and that is OK with me! You can’t be accepted and loved by everyone! 2016-01-31 21.46.19Kuna watu ambao navumilia kuishi nao au ku associate nao, kuna watu ambao pia najifunza kuishi nao au ku associate nao. Watu ambao ni genuine wapole, watu ambao hawapendi ku socialize kwa sana (I am one of them: social imperialism) etc Lakini kuna watu ambao hata siku moja sitokaa ni jifunze wala kuvumilia kuishi nao au ku associate nao. Watu ambao ni wanafiki! Waongo! Wachonganishi! Wenye dharau ya kujiona kuwa wao ni bora kuliko wengine! Wasukaji na wasambaza majungu bila kujali kiasi gani wanawaumiza watu au familia za watu kwa majungu yao. Yani honestly, hawa watu sijui jinsi ya kucheka nao nawala sioni aibu kusema I CAN’T ASSOCIATE WITH PEOPLE LIKE THAT! We can love and respect one another from a distance! That is fine too! Hata kama ni ndugu yangu I will just find a way to distance myself from you!  20160430_151459-1Sijuwagi ku keep people around me just for the sake of “public image”! Yani huyo siyo mimi hata kidogo. Kuna mtu aliniambia eti Watanzania wengi ni wanafiki sana inabidi uwe mvumilivu sana ku associate nao. Nikasema the key point hapo ni “WENGI” that means SIO WOTE! Hivyo SIHITAJIKI kumvumilia MNAFIKI hata siku moja! Kwanza naanzaje?! Better be alone than kuzungukwa na wanafiki! 

FB_IMG_1461851220213

Clara C. Awiti’s send-off party

2016-05-02 08.19.32-1Pichani ni ambaye alikuwa bibi harusi mtarajiwa kwa wakati huo dada Clara Celestine Awiti wa Mbagala, Dar es salaam.  Clara ni mtoto wa mjomba wangu upande wa mama yangu. Baba yake Clara ni mtoto wa sita (6) kuzaliwa kwa familia ya marehemu bwana na bibi Cornel Awiti wa Kowak, Rorya, Mara. Mama yangu yeye ni mtoto wa nne (4) kuzaliwa kati ya watoto 12. Kwa sasa watoto walio hai ni kumi (10). 2016-05-02 08.15.53Send-Off party hii ilifanyika kwenye ukumbi wa Kilimanjaro uliyopo ndani ya kiwanja cha maonyosho Saba saba, Kurasini siku ya Alhamisi, April 28th, 2016. Pichani ni bibi harusi mtarajiwa na mpambe wake Vumilia Sassi ambaye pia ni mtoto wa shangazi yake ! Wamependeza sana. ..2016-05-02 08.35.25Wasimamizi wa bibi harusi mtarajiwa katika pozi 2016-05-02 08.33.53Mmependeza sana my nieces….. kushoto ni Teddy Shija na Sarah Alexander 2016-05-02 08.31.59My people! Love them!  Hapa ni mama yangu mkubwa, mke wa marehemu baba yangu mkubwa. Mama yake na Grace Anyango-Nyoyoo, Aphino Igogo, Kenneth Igogo,  Dr. Obadia Igogo, MzeeWilliam, Isaka Igogo, na Rhoda Igogo. Na aliye pembeni yake ni mjukuu wake aitwaye Debora. 2016-05-02 08.29.54Mama mdogo wa bibi harusi mtarajiwa mke wa marehemu Martin Cornel Awiti, akiwa na furaha iliyo changanyika na huzuni kwani siku zote ni ngumu sana kukabidhi mwanao japo ndivyo maisha yalivyo hivyo hana budi!2016-05-02 08.21.43

Vumi a.k.a Dorice Sassi katika pozi. Yeye ni binamu yake Clara upande wa mama. Vumi kwangu mimi ni mtoto wa mama yangu mdogo na pia ni mtoto wa marehemu baba yangu mdogo. Kwani mama yangu mdogo aliolewa / ameolewa upande wa baba yangu. Soma hapa 2016-05-02 08.18.21binamu zake Clara. Mwanasheria Magreth O.O Igogo na Janet O.O Igogo  a k. a Mrs Tobby Nyagilo…… pendeza sana wapendwa 2016-05-02 08.25.51Shangazi jamani mbona upo busy na simu?? 2016-05-02 08.19.32Mjomba wake Clara na pia ni baba mlezi mzee O.O Igogo akitoa nasaha zake kidogo kabla ya kumpa zawadi ya pongezi binti yake
2016-05-02 08.28.09mashangazi katika picha ya kumbu kumbu 2016-05-02 08.27.42Mashangazi hao naona wanafurahiya sana 2016-05-02 08.23.112016-05-02 08.20.49Awwh! Mama zangu hao Nawapendaje sasa mabinti wa mzee Cornel Awiti!!……. kutoka kushoto ni mama yangu mdogo Magreth Cornel Awiti a.k.a Mrs Agonda Sassi, Gloria Cornel Awiti a.k.a Mrs Jerry Kiwira, na mama mzazi Cecilia Cornel Awiti a.k.a Mrs Otieno Igogo ❤❤❤  hawa wote ni mashangazi wa bibi harusi mtarajiwa 2016-05-02 08.14.00nawapenda sana mama zangu 2016-05-02 08.15.53Kwa mara nyingine tena, hongera sana Clara. Mungu awe nawe.

“Trustworthy friends are a strong shelter”

“Trustworthy friends are a strong shelter; whoever finds one has found a treasure. Trustworthy friends have no price, and no one can estimate their worth. Trustworthy friends are life’s medicine, and those who fear the Lord will find them. Those who fear the Lord will direct their friendships well, because they will associate with people of like mind.” Sirach 6:14-17 …… My Dear Sisters, Brothers and Friends, I am out of words to thank you enough for all Birthday wishes you have showered me with, on my birthday! God bless you all my good friends✋?!

Mr and Mrs Mndalila
                                                           Mr and Mrs Mndalila

Happy belated birthday to brother Steve Mndalila!

Announcement: Clossing of bank accounts regarding to late Andrew Sanga’s fundraising activities

***ACCOUNT CLOSURE***

To all.

Can’t thank you enough for your support and positive response.

The Special Organizing Committee for Andrew’s wake and funeral unanimously reached a consensus to close all bank accounts and a PayPal account opened specifically for a sole purpose of fund raising. This is to take place EFFECTIVE IMMEDIATELY.

We are terminating all activities related to these accounts in order to allow our Finance Sub Committee to do their book keeping and hand the financial report to the Tanzanian Community leadership, THC.

Nonetheless, this Committee will send an abstract report for all to see. We thank you countlessly and ask for patience as we sort things out.

If one chooses to donate anything you are kindly REMINDED to not use any of the accounts below, for the Committee won’t be able to trace your transactions and WE WILL NOT BEAR ANY RESPONSIBILITY for any loss thereafter!

We recommend if anything moving forward, to please be handed directly to Zoe Sanga (daughter) through her mother Ms. Emmy Matafu.

Let it be clear, this is a suggestion not a Directive from this committee. Accounts affected by this immediate closure are;

Wells Fargo Bank, N.A

Name: Patricia Ishemo

Alias: Andrew’s Fund Raising

Acct#: 1835489301, Routing: 580800393

Bank of America

Name: Prosper Kiswaga

Alias: Tanzania 2nd Account

Acct#: 488052463903, Routing: 111000025

PayPal: [email protected] (Lambert Tibaigana)

For, Special Organizing Committee

Saidi Nusura, Secretary.

Ijumaa Kareem

FB_IMG_1461941442281-1Jumaa Kareem wapendwa, Sabato njema, na JumaPili njema. Sorround yourself with greatness and love!??

Blog