Mrembo wetu Hoyce Temu alipokuwa Mwanza kwenye mashindano ya Miss Tanzania 2016. Hoyce alivaa nguo ya mbunifu wa kimataifa Linda Bezuidenhout (LB)! Safi sanaMwamvita Makamba……….looking beautiful as usual nimependa sana muonekano wake Jokate katika ubora wake!……..looking fab!Jackline kapendeza sana! Nimependa the dress imemkaa vizuri sana