The Makondas! Wamenogaje! Jamani mwanamke mwenye furaha toka moyoni utamuona tu kwenye macho yake! hata tabasamu lake litaonyesha! Ee Mungu linda ndoa hii na uzidi wabaraki siku zote ?
The Obamas! Jamani, tuta wa-miss hawa love Bird ?? Dah! But after last night debate I’m prepared to see the First Female President of United States of America ? Mungu awajalie mema yote ?…………… “First Lady of the United States @MichelleObama is flawless in a custom-made, rose gold #AtelierVersace gown.”~~~~~ maneno yake FIrst daughter Sasha Obama
