Pumnzika kwa amani ya Bwana kaka yangu Mwl. Jamoko Laurent Kateti Sarungi. Najua nipigo kubwa sana kwa familia yako na uchungu mwingi kwa ukoo wote wa Sarungi / Igogo; sisi tutalia na kuhuzunika kama wanadamu kwani myoyo yetu hii dhaifu lakini Mungu yeye ametenda kama Mungu hivyo jina lake lihimidiwe milele zote! Poleni sana watoto wa kaka yangu pamoja na wifi yangu. Mungu awe nanyi katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Felista naweza hisia tuu machungu uliyo nayo sasa kwani baba yako alikuwa ndio rafiki yako mkuu! Mungu akupe moyo wa uvumilivu, akufariji kwa njia ya pekee ukamtegemee yeye siku zote. Akupe uwezo wa kufurahiya maisha tena bila uwepo wa baba. Pole sana mtoto wa kaka. 2 Timoth 4:3-7………… 3. nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo. 4. Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza huduma yako. 5. Kwa maana, mimi sasa namiminwa, na wakati wa kufariki kwangu umefika. 6. Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda; 7. Baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake.
Until the morning glory comes R.I.P kaka yetu na Mwenyekiti wa ukoo wetu! ?
pumzika kwa amani uncle jamoko
Poleni sana kwa msiba Mungu awatangulie pia awetie nguvu!
Asante sana my friend. Be blessed.