Mchango wako kama Mtanzania mzalendo na kiongozi hauta futika kamwe kwenye historia ya taifa la Tanzania!……Enenda kwa amani ya Bwana wetu. Poleni sana wafiwa wote; familia ya marehemu, ndugu, marafiki, na taifa la Tanzania kwa ujumla!…….. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe siku zote ??
