Pumzika kwa amani ya Bwana kaka Jamoko. Sisi tulikupenda lakini Mungu amekupa zaidi. Wapendwa wasomaji wangu, sija blog toka Thursday na sita blog mpaka Juma Tatu ili kuonyesha heshima zangu za mwisho kwa my cousin-brother na Mwenyekiti wa ukoo wetu (Kama ulipitwa na tangazo soma Hapa). Leo hii ndio atazikwa. Hivyo sasa hivi yani mida hii ibada ya mazishi inaendelea huko kijijini Utegi, wilaya ya Rorya, mkowa wa Mara. Nami naungana nao katika maombolezo hayo kiroho……….Pia siku ya jana bibi yangu mzaa mama alitimiza miaka 2 tangu kufariki kwake. Naamini tutaonana tena katika inchi mpya. ?
https://youtu.be/iiGan-NRy3w
https://youtu.be/pyhQDV9S5sw
R.I. P brother!!
Da. Poleni sana ndugu zangu wa utegi katika huo msiba familia kwaujumla nawaombea faraja kwamungu wakati huh mguu amina
Asante sana. Ubarikiwe