Kwakweli wanawake wenzangu acheni kuishi maisha ya kunyayasika si vizuri kiafya, kiakili, kimwili, wala kiroho!………… Yani mimi naona nimekuwa muoga hata wa kuongea na mtu mwenye dalili za unyanyasaji, roho mbaya ya kikatili, au mnafaiki! Siwataki hao watu anywhere close to me!! It’s 21st century say #R.I.PMr.Violence….!
Yaani tupo wengi… R I P Mr Violence…
Yani na R.I.P wherever he is!! ??