Sikiliza Zitto Kabwe
Mungu amewapa wenzetu “wazungu” baraka ya utajiri wa technology.
Na pia ametupa sisi watanzania baraka ya utajiri wa Udongo wenye thamani.
Ili technology yao ifanye kazi inahitaji malighafi kutoka kwetu.
Sio busara na hekima kuwapelekea malighafi wao mana haiwezi kuhamishwa, ILA TECHNOLOGY INAHAMISHWA.
WAJE WALETE TECHNOLOGY TUTAZUNGUMZA NAO. Jerry C. Muro
Machame, Hai
Kilimanjaro.
26/03/2017