Sema wapendwa wasomaji wangu, sorry ningekuwa busy kidogo nafurahia ugeni huu wa mdogo wangu. Amekuja kutembea kwa muda mfupi ambao wamefunga shule. Hii ni mara yake ya pili kuja U.S.A mara ya kwanza ilikuwa 2014 ambapo alikuwa ja mwaka mmoja na nusu. Hivyo ngoja tufurahi pamoja kwa moment hiiĀ