Anayeoneka kwenye picha hapo juu anaitwa Philemon Anamwikira Ikaa Munuo, miaka (61). Ametoweka kuuanzia siku ya juma tano tar.29.06.2016 nyumbani kwake Bunju B Dsm, Tafadhali yeyote atakaemuona apige simu Police au Kwenye number zifuatazao…… 0713449666 (Rich) 0754226760 (Tumsifu) 0713552828 (Rodrick) 0718555909 (lucas) 0713481648 (Tumaini)……Tafadhali sambaza ujumbe huu.
