DMV NA CALIFORNIA
Kwa niaba ya familia ya Kaka Adam Tenga na Dada Aziza Mitchum ; tunasikitika kutangaza kifo cha Mama yao Aunt Nuru kilichotokea March 27, 2016 huko San Fransisco , California. Taratibu za kusafirisha Mwili wa Mareheme kwa mazishi kwenda Tanzania zinaendelea.
Tunaombwa tushirikiane na ndugu zetu na familia kwenye kuchangia na kukamilisha gharama za kumsafirisha marehemu mama kwenda nyumbani Tanzania.
Tunaombwa tuchangie kupitia:
Aziza Mitchum: American Express Centurion Bank , Account # 6220033620855
Go Fund Me: gofundme.com/zaw825cs
Kufarijiana ni mila yetu, tafadhali mpe taarifa mwingine.
Msiba uko :
DMV: 6200 Ager Rd, Hyattsville, MD 20782
California: 1441 Detroit Avenue, Concord, CA 94520
Kwa taarifa kamili:
Adam Tenga : 240-491-1770
Aziza Mitchum: 925-548-2585
Ally Mikidadi: 201-628-2133
Abdulahi Makeo: 240-318- 3419
Asha Harizi: 703-624-2409
Mwajuma Awadhi : 510-205-9062
Jasmine Rubama: 410-371-9966
*Poleni sana wafiwa wote, ndugu, jamaa, na marafiki. Mungu awe nanyi katika kipindi hichicha maombolezo*………… please note: picha iliyo tumika haina huusiano wa moja kwa moja na marehemu au msiba. Asante.