My brother Noah Manongi! Sina huwakika na mwaka ila ni kati ya 2006 au 2007 summer time. Hapa ilikuwa siku ya Send-off party ya Regina Mugetta, Benton Habour, Michigan. Pembeni nilikuwa mimi sema nimejitowa sikupenda nilivyo toka nilikuwa nimeshangaa sana ??
