Kushoto ni Mbunge wa Musoma mjini Vincent Nyerere kabla hajawa “muheshimiwa” Nimecheka sana hii picha nimemfananisha na Diamond wakati ule anatoka na single yake ya Mbagalaa 🙂  Hapo ilikuwa Butiama 1997 na kulia ni hayati Baba wa taifa. Asante kwa ku share nasi.Â
Na hivi ndivyo alivyo sasa hata swaga zimebadilika hahaha!
![](https://i0.wp.com/www.alphaigogo.com/wp-content/uploads/2015/07/2015-07-02-11.43.33.jpg?resize=672%2C372&ssl=1)