Mama Mbuna ndani ya jiko lake. Mwanamke jiko jamani, si mnamuona mama yetu hapa akipikia familia yake. #NaniKamaMama ubarikiwe sana mama Mbuna. Biriani ya nguvu, kuku wa kienyeji awwih!…… sasa mjaluo mie mmh! Itabidi niende kwa mama Mbuna kujifunza kupika biriani ??? Oh! NO! Nimesahau yule Muhaya anakula matoke ??Tabasamu lenye furaha ya kutoka moyoni. Akifurahia na kumshukuru Mungu kwa kuwalinda na kuwabariki watoto wake……halafu mnamuona alivyo mzuri eeh! Tafakari alipo kuwa kijana! Ukiangalia picha zake utampenda sana. Yani ni mama mwenye ‘free spirit’ fulani hivi amazing sana. Family that eats together stays together forever! Inapendeza sana kuona familia inakaa na kula pamoja kama familia wakati wote inapo wezekana. Inasaidia familia kupendana zaidi na kushikamana raha eeh! Safi sana beautiful people angalia roast hiyo, yummy! There’s no such a thing as “perfect family” but family is everything in this world, everyone needs a family! Cherish and honor your family all the time. Mbarikiwe sana familia ya marehemu mzee Mbuna ❤Foster, wewe ni miongoni mwa watu wachache sana wenye roho ya kipekee sana. But I can see where you got that from; your family tells it all! Mungu akubariki sana. Happy Easter to you all.