Neema ya Mungu haina kipimo tena hutenda kwa wakati wake. Hakuna lililo gumu mbele za Mungu. Hakuna ajuaye kesho ila Yeye mwenye mamlaka yote. Kila aliloahidi anaenda kulifanya. Asante dada @ladivamillen, ushuhuda wako ukaseme na kila aliyekata tamaa. Tusiwe wepesi wa kupungukiwa na imani, tena tusichoke njiani. God reigns! #TearsOfJoy #BabyKairo **ngoja nikusindikizie huu ujumbe wako na huu wimbo**
