Usiendeshe maisha kwa majungu!

iStock_000000916688XSmall_crop380w‘Majungu hayajengi!’……….kama majungu yangekuwa mtaji basi kunawatu wangekuwa mabilionea sasa hivi! Lakini tunawaona wako vile vile hata wakipiga hatua 5 mbele leo kesho wanajikuta wamerudi square zero bila wao kujua ni nini haswa kimetokea! wewe kama mtu hajakutendea ubaya wowote kwanini usikilize majungu na kujenga chuki na mtu bila sababu yoyote? Si unyumbu huo?! Penda tabia ya kufanya uchunguzi wako wewe mwenyewe na jifunze kusimamia ukweli hata kama unasimama mwenyewe!  Hii tabia ya kuzushia na kusambaza majungu juu ya watu au mtu si tuu kwa wanawake bali hata wanaume wanayo sana! Nimeshuhudia na kuwa mmoja wa victim wa majungu tena kwa wanaume ambao huwezi amini. If you can’t stand my guts just leave me alone and mind your own business! Mwanaume mzima tena wenye familia/watoto kukaa kwenye simu na magroup ya watsup kutengeneza majungu kwa ajili ya mtu ambaye wewe mwenyewe hukumuona anafaa au ana thamani ya kuwa na wewe (wakati uko busy kila siku kufatilia mambo yake) mimi ndio nawaita “losers!” Loser is a loser haijalishi amesoma kiasi gani au anafanya nini to generate his income. Kama wewe unachukia maendeleo ya mtu yoyote yule then consider yourself a big loser! Watu waliofanikiwa huwa wapo na fikra huru ya kupenda kuona wengine wanafanikiwa.screen-shot-2012-12-27-at-10-51-48-am2Nanyie wanawake (baadhi) ambao mnatumiwa na hawa losers kuumiza wanawake wenzenu just consider yourself the biggest losers of all time! Real strong women don’t do that only losers do! Acheni kuendesha maisha kwa majungu mtafanikiwa zaidi!

Leave a Reply