Huu ujumbe nimeutoa kwa one of my friends ila sikutaka ku display his name over here ?? nimecheka halafu ukanikumbusha wimbo fulani wazamani (Mama Maria by Marijani Rajabu) wenye chorus ambayo baadhi ya maneno yake yanasema “hao ndio wenye kukaanga mbuyu tuwaachie wenye meno watafune” ?? ……sometimes vitu vingine unaviona ni vizuri kabisa, tena vinavutia haswa, unatamani kuwanavyo lakini kama ni mtu unaye jitambua ni vyema kusema ndani ya nafsi yako kuwa HAPANA! I can’t afford / handle it! Unaviangalia kwa macho unageuza shingo upande wa pili maisha yanaendelea. Lakini ukijifanya mbishi basi ndo unakutana na “wenye meno”! ……..haya ngoja niwawekee huu wimbo hapa kama our #ThrowbackThursday
Aliyeandika huo ujumbe ali add na hiyo picha ? I am just curious to know hili “dongo” kapigwa nani?? Japo nimemuuliza muhusika akadai something just got his attention ?? ?????? umbea raha sana kama ukijuwa wahusika LOL! But today let us say to whom it may concern ???