Kama wewe ni baba au unategemea kuwa baba basi haya ni maneno ya kutafakari sana. Je mambo unayo yafanya kwa mwanamke uliye naye akitendewa binti yako utajisikiaje?! Kama haufurahii basi huna budi kubadilika! Na hii si tu kwa wale wenye watoto wa kike, hata kama una watoto wa kiume jiulize! Je, ungependa wafate nyayo zako au! Je, unawafundisha na kuwaandaa kuwa wanaume na baba wa aina gani! Badilika sasa!