Kumpenda mtu siku zote utakuwa mkweli kwake hata kama yeye mwenyewe hapendi ukweli wako! As much as I Iove Zari, but I have to tell her this beater-truth! Kuwa Zari kwa hili umekosea sana!Kwanza nianze kwa kusema simsapoti Diamond kwa udhalilishaji wake anao wafanyia wanawake kila siku! Hii ya Zari ni series ya matukio mengi ambayo amewafanyia wanawake ambao wamekuwa kwenye mahusiano naye.Amegeuza wanawake ndio mtaji wake wa kuongeza nguvu kwenye kazi zake! Which is very very wrong! However, despite all the evilness he has done, when comes to this issue ya kumdhalilisha Zari, personally I kinda understand where his pain is coming from! But again it doesn't justify what he did.Kwanini nasema Zari amekosea? Ni kwasababu moja kuu ya kuamua kufanya udhilishaji kwa baba wa watoto wake bila kufikiria kuwa the real victims here are her own children! Tendo alilofanya Zari linamuweka level moja na Diamond, yani hakuna tofauti kati yao and two wrongs can't make it right! ..Kitendo cha Zari ku-move on na maisha yake ni kizuri sana! Tena sana! Nampongeza kwa hilo. Lakini kitendo cha yeye kuleta mwanaume mwingine kwenye nyumba ya mwanaume mwingine ni kukosa heshima sio tu kwa Diamond kama baba wa watoto wake bali pia kawakosea heshima watoto wake!
Ule mji ulinunuliwa kama mji wa familia.That’s a place where her children as long as they live they will always remember and call it home! Home is small sanctuary, Zari has dishonored her children sanctuary! Hivi unajua ipo siku watakuwa wakubwa na sidhani kama watakuwa so impressed with their mom decisions! Haswa Tiffa, unajua jinsi watoto wakike walivyo na baba zao, Mungu atupe uzima kushuhudia yajayo!..Sijui kama Zari anajua anachofanya ni kosa au ndio maisha ya u-celebrity yamemuingia kwani hii sio mara ya kwanza kufanya hivyo. Tunaona hata alipo achana na marehemu Ivan Ssemwanga alikua anamleta Diamond kwenye nyumba ya watoto zake! Na marehemu hakufurahishwa na hili! ?? wanasema malipo ni hapa hapa duniani eeh! So Diamond got what he deserves!!.. Inajua mimi nashindwa kuelewa sijui ni Usabato wangu au ujaluo ndio unanifanya nishindwe kuelewa hii celebrity lifestyle!
Hivi wanawezaje kuleta mtu mpya kwenye nyumba au chumba ulichokuwa unatumia na your Ex-girlfriend / boyfriend? Nashindwa kuelewa haswa kwa wanawake! Majasho ulioweka kwenye makochi na mwanaume mwingine ndio hapo hapo unamleta mpenzi wako mpya ? Dah! Mie sielewi hii lifestyle! Labda ushamba umenizidi can’t think right ??